Wapi naweza pata leseni ya kufanya biashara ya madini?

Wapi naweza pata leseni ya kufanya biashara ya madini?

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,408
Reaction score
1,713
Wakuu ninaomba msaada wa maelekezo, ninatamani sana kuanza biashara ya madini, hii ikimaanisha kuyanunua na kuyauza hata nje ya nchi ikibidi. Ninajua kibali ni kitu cha muhimu sana katika biashara kama hii na hasa ukizingatia serikali tuliyonayo kwa sasa. Ninaomba nijulishwe ni mamlaka ipi au taasisi ipi inayohusika na kutoa kibali cha aina hii? Na pia ni nini watakachohitaji niwe nacho ili nijue kama nimejiandaa vema au la.
 
mahitaji
tin
ofisi
safe - vault
scale na vifaa ambata vya kupimia Madini
.
.
.

vibali unaomba ofisi iliyokaribu nawe, mara nyingi ni za kanda. kuuza nje utahitaji master dealer.
 
Back
Top Bottom