kwa wale wapenzi wa simulizi katika mfumo wa sauti (AUDIO) sasa ni OFA kwenu kwa Tsh1500/= tu utatumiwa simulizichizo kila siku kwa whatssap ....
kwa mawasiliano zaidi- 0743624579
habari waungwana.nataka kujua kwa hapa dar wapi ntaweza kupata mbegu za nyanya zinazoitwa eden zinazotengenezwa na kampuni la seminis.natanguliza shukrani.
Wakuu salaam mimi nipo Iringa mjini nahitaji mbegu ya kitunguu. Nahitaji kulima eka moja nipo Iringa naombeni msaada. Mbegu ninayo hitaji ni aina hizi Mang'ora red,Red creole au bombay red...
Natoa huduma ya kuuza playstations 3 ambayo ziko chipped tayar na zenye michezo 5 ndani yake unayopenda wewe,ikiwa pamoja na padi mbili,adapter na waya wake ,michezo ipo ya kila aina na latest...
Habari wana JF,
Kama heading inavyojieleza.
Leo nmejikuta nakumbuka wakati wa utoto wangu,nmekumbuka tulikua tunakwenda sunday school kila Jumapili na huko tulikua tunapata mafunzo tofauti na...
Kamera hii inapiga picha na kuchukua video.Kamera imetumika kidogo miezi michache na haina tatizo lolote.Ina mega pixel 5,optical zoom3,digital zoom 4,na skrini ya nchi 2.4.
Unaweza kuiona katika...
Karibuni Dodoma.
Kama unahitaji Nyumba ya ama kupanga au kununua pamoja pia na Kiwanja/Viwanja Sehemu
yoyote katika Makao Makuu ya Nchi-Dodoma, Tuwasiliane.
Call 0759 888 018 au Ni-pm kwa...
Jamani naombeni msaada wa hiyo kitu hapo juu nahitaji kimojawapo pia mwenye setup ya pc games za football fifa na pesi kuanzia 2013 hadi now naomba anijuze, kama pesa ipo.
ASANTENI SANA.
Halijakamilika. Ukubwa wa uwanja 1094 mita za mraba. Kiwanja kina haki miliki ya ardhi’’Title Deed” kuna apartments 6 (one bedroom apartment)@ Bei 370mil.... kwa maelezo zaid au kuiona piga...
Vitu vifuatavyo vinauzwa bei chee!;Displaying boards 2 ukubwa futi 4*8 zikiwa na hooks 40vyote tsh 140,000/=, showcase ya Aluminum ya ukutani tsh 60,000/= pia kuna marine Boards zilikuwa...
Kama mada inavyojieleza, gari iwe kwenye hali nzuri, 4wd, mwaka 2000 kuja juu, haijapata major accident, mteja ana 12m, tuwasiliane kama ni muuzaji serious.
rav4
Toyota volts
Habarini ndugu zangu namtafuta bwana shamba il akanichekie eneo chalinze km panafaa kwa kilimo cha tikit eneo langu lipo chalinze panaitwa mboga karibia na msoga my no 0653716282
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.