Nitumie picha zaidi kwenye 0756060183 na Maelezo ya kutosha
Angalia maneno yako"Siyo gari tu ata watu waliomo wanauzw
a
kaka nina iman asili% 100 ume weka picha hizo kwa lengo la biashara ya nyumbaNyumba inauzwa ipo tegeta masaiti ina vyumba 5 ina fensi na geti.Bei ni 100M.
View attachment 371285
View attachment 371286
Acha mawaazo machafu wewe. Kweli watanzania tumefikia hatua hii? Yaani ndugu zetu albino tuwafiche kabisa wasionekane ama? That cute little boy deserves to be free and happy as he is, kusema eti asitokee kwenye picha sijuwi nini nanini ni mawazo ya ushirikina wa kijima!kaka nina iman asili% 100 ume weka picha hizo kwa lengo la biashara ya nyumba
siwezi kutilia shaka uwepo wa huyo mtoto Albino hapo kushoto mwa picha
ktk haki cdhan kama huyo mtoto alitoa ridhaa ya kuonekana ktk tangazo la biashara yako
pia kutokana na roho mbaya za watanzania wenzetu walogeuka wanyama kwa kuwa uwa wenzetu wenye ulemavu wa ngozi mpaka sasa ina wezekana ume hatarisha usalama wa mtoto huyo maana wenye lengo baya wana weza kuja kwa kiki ya kutaka kununua nyumba waka fanya uharamia
mm si mwana sheria ila naamin uwepo wa mtoto huyo ktk picha yako ina weza ikawa kosa kisheria
kuanzia sasa bora uka itoa uweke nyingine au crop ni hayo tu
Asante sana nduguAcha mawaazo machafu wewe. Kweli watanzania tumefikia hatua hii? Yaani ndugu zetu albino tuwafiche kabisa wasionekane ama? That cute little boy deserves to be free and happy as he is, kusema eti asitokee kwenye picha sijuwi nini nanini ni mawazo ya ushirikina wa kijima!
kaka nina iman asili% 100 ume weka picha hizo kwa lengo la biashara ya nyumba
siwezi kutilia shaka uwepo wa huyo mtoto Albino hapo kushoto mwa picha
ktk haki cdhan kama huyo mtoto alitoa ridhaa ya kuonekana ktk tangazo la biashara yako
pia kutokana na roho mbaya za watanzania wenzetu walogeuka wanyama kwa kuwa uwa wenzetu wenye ulemavu wa ngozi mpaka sasa ina wezekana ume hatarisha usalama wa mtoto huyo maana wenye lengo baya wana weza kuja kwa kiki ya kutaka kununua nyumba waka fanya uharamia
mm si mwana sheria ila naamin uwepo wa mtoto huyo ktk picha yako ina weza ikawa kosa kisheria
kuanzia sasa bora uka itoa uweke nyingine au crop ni hayo tu
Inavyoonekana ww ni wale wenye watoto walemavu unawafungia ndani eti kisa aibu kuzaa mlemavu.kaka nina iman asili% 100 ume weka picha hizo kwa lengo la biashara ya nyumba