JF shukrani zenu, nahitaji kura zaidi

JF shukrani zenu, nahitaji kura zaidi

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
1,474
Reaction score
1,088
Hello friends; I Nyamoni Warioba from Tanzania, I have been nominated for the YOUTH CITIZEN ENTREPRENEURSHIP Competition in the Best Idea 2016 Category. I would be happy if you support my idea with Comments and Votes. You can support my Ideas by:

a) Voting for it

b) Commenting and Giving positive feedback that can help to improve my project. Go to this link. www.entrepreneurship-campus.org/ideas/4/ click Best ideas 2016 then click VOTE FOR BEST IDEAS, all Nominees names will appear and then Select idea titled "EMPOWERING GIRLS THROUGH FORMING A FOOTBALL TEAM" you will see the name NYAMONI WARIOBA with a Ball photograph attached, Just click VOTE at the Orange bar.

" Please I need your Votes for winning this competition" Your votes and comments will be valued; VOTING deadline will be 31/08/2016. Please share with friends groups. This is the worldwide competition please vote for citizen of your Country.
 
Iyo lugha uliyotumia uku tunaisikiaga tu mliaman city na watu wakishalewa!weka version ya kiswahili utasomeka
 
Nimekuvotia. Ukishinda make sure unatekeleza project hiyo. Halafu hebu wafafanulie vizuri wadau si unajua hawana muda. waambie kuna namba utatakiwa ujaze ndio uvote. Hongerah kwakuingia kwenye hii competition.
 
Jina unalotumia imekuwa ngumu kukupigia kura... MUNGU MWEUSI[emoji29][emoji29][emoji29]
 
Tayari kijana..eeh anza tukukute njiani tutakusaidia..
 
Attachments

  • IMG_20160801_230550.JPG
    IMG_20160801_230550.JPG
    26.6 KB · Views: 44
Awali napenda kuwasalimu; nikiwa kama kijana na member wa Jamii Forum napenda kuchukua Nafasi hii kuomba Kura zenu katika shindano la Youth Citizen Entrepreneurship. Shindano hili lengo lake ni Kuwezesha Vijana ili wawe chachu katika kutelekeza malengo mapya 17 ya Maendeleo endelevu. Nikiwa kijana wa kitanzania nilituma proposal Yangu na hivyo kuonekana ina Tija katika maendeleo na hivyo kupewa nafasi ya kushindanishwa na Vijana wengine duniani. Hivyo hapa nawakilisha Vijana wa Kitanzania; wazo hili likifaulu basis mradi utakaofanyika utanufaisha Vijana wote wa Kitanzania. Naombeni kura zenu.

Pitia wazo langu unipatie Kura:

Hello friends; I Nyamoni Warioba from Tanzania, I have been nominated for the YOUTH CITIZEN ENTREPRENEURSHIP Competition in the Best Idea 2016 Category. I would be happy if you support my idea with Comments and Votes. You can support my Ideas by:

a) Voting for it

b) Commenting and Giving positive feedback that can help to improve my project. Go to this link. www.entrepreneurship-campus.org/ideas/4/ click Best ideas 2016 then click VOTE FOR BEST IDEAS, all Nominees names will appear and then Select idea titled "EMPOWERING GIRLS THROUGH FORMING A FOOTBALL TEAM" you will see the name NYAMONI WARIOBA with a Ball photograph attached, Just click VOTE at the Orange bar.

" Please I need your Votes for winning this competition" Your votes and comments will be valued; VOTING deadline will be 31/08/2016. Please share with friends groups.
Mkuu mm nimejaribu kuvote lakini nikiangalia idadi ya votes naona bado ipo vilevile kwa hiyo sina uhakika kama kura yang wameihesabu au la.
 
Nawashukuru sana kwa mlionipigia
Onyesha uwezo wa kuelewa kwa vitendo, verify user name yako.
Achana na kunipa homework.
Naitwa Nyamoni Warioba, kijana wa Kitanzania mwenye uchu wa kufanya mabadiliko katika Usawa wa Kijinsia. Karibu
 
Nawashukuru sana kwa mlionipigia

Naitwa Nyamoni Warioba, kijana wa Kitanzania mwenye uchu wa kufanya mabadiliko katika Usawa wa Kijinsia. Karibu
Umepata Kura jangu jamaa kasema verfiy jina lako halisi ndio uombee Kura jf watu wengi watakuunga mkono ni kitu cha muda mchache tu kwa sababu unataka Kura nyingi Fanya hivyo
 
Wala sio best kwa nchi yetu, mi ningekuona mjanja kama ungeunda wazo ambalo lingepelekea uwekezaji wa kati kama sio uwekezaji mkubwa.

Mfano, ziwa tanganyika, linaaminika kuwa na samaki wakubwa aina ya sangara lkn wako mchangani ambako ni mbali.

Idea ya kuwavuna samaki hao tunaihitaji.

2. Bahari yetu, magufuri aliwahi kukamata meli ikiwa na tani kadhaa za samaki. Kwa nn usitafte wazo la kuwavuna, kuwasindika na kuwataftia masoko?

Wazo la uzalishaji zaidi ni zuri, maana itasaidia kuongeza ajira
 
Back
Top Bottom