teetotaller
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 317
- 214
Za asubuhi wape
ndwa.
Nnapenda kuwataarifu kua kwa yeyote mwenye uhitaji au mwenye ndugu, jamaa au rafiki mwenye uhitaji wa viwanja mkoani mwanza kua kuna viwanja viwili vyenye ujazo wa juu wa mita za mraba 271 kila kimoja vikiwa vimeambatana pamoja na viko maeneo ya Bujingwa Kitalu A. Cha tatu kina ukubwa wa ujazo wa mita za mraba 590 na kipo Nyamadoke karibu na shule ya msingi Nyamadoke.Kwa mawasiliano juu ya bei za viwanja hivi na maelezo ya ziada pia uwezekano wa kupata viwanja vingine ndani ya wilaya ya Ilemela tumia namba 0764359094 au 0652240799,town plan map hiyo hapo chini,viwanja ni 14 & 16.