,,NATAFUTA SEHEMU YA KUANZIA NJIA PANDA YA MBEZI MPAKA KANISANI KWA CHINI ,KABLA HUJAFIKA NJIAPANDA YA CHUO KIKUU,,KISIWE MBALI NA BARABARA YA LAMI,,MAX KM MOJA UPANDE WOWOTE HASA ULE WENYE...
Kiwanja nahitaji nje ya Dar kwa tsh Laki tano tu. 500,000. Eneo nnalokusudia nipate ni maeneo ya Kibaha Chalinze mlandizi kimanzichana na kuendelea Kibindu.
Tuwasiliane in box
Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu mwenye uhitaji angekuwa...
KAMATA FRIDGES MPYA NA KALI ZAKISASA SIZIZOCHURUZISHA MAJI NDANI MPYAA ZIKIWA NA WARRANTY N GUARANTY YA COMPRESSOR USAFIRI BUREE MPAKA HOME PAMOJA NA FRIDGES GUARD ZINAANZIA 400,000 NAKUENDELEA...
1.JUMLA.Bei ya jumla ni Tsh. 65,0000/= zinakuwa pic 3 pamoja na vitambaa 6( yaani kila pic moja ina vitambaa 2.
2. REJAREJA. pic moja Tsh. 25,000/= pamoja na vitambaa vyake viwili.
ukihitaji...
Salaam
Nauza rolling gates za ukubwa wa futi 9x9 yapo nane(8) na 9x7 yapo manne(2) bei nzuri sana. Yapo Tegeta Dar.
Bei ni tsh 550,000@
Pia viwanja viwili
Cha kwanza ni 35/40
Kina msingi wa...
Nyumba imejengwa kisasa ina
Mastr bedroom 1
Single rooms 2
Sitting room kubwa ya kisasa
Dinning room
Jiko&store
Public toilet 2
Full tilest
Umeme upo
Nyumba ina fensi
0656 698232
Eneo la...
Nyumba ipo poa kabsa
Sitting room
Dinning
Mastr 1
Single rooms 2
Jiko&store
Public toilet 1
Eneo la kiwanja 20/24m
Umeme&maji vipo
0657116462---0656698232
Nauza Huawei y3ii
Simu ina
8GB INTERNAL MEMORY
1GB RAM
5MPX CAMERA
4G NETWORK
BADO IPO VIZURI KABISA NA BEI SAWA NA BURE. Ni
Tsh 180000
NICHEKI
0659505081
Ili tufanye business
Kama upo nje...
Habari za mchana wanajamii,,kichwa kinajieleza natafuta premio ya kununua ilio kwenye good condition kuanzia DG na kuendelea.
Rangi isiwe black.
Mwenye nayo naomba anicheki inbox
Habari zenu wana jamvi niko mwanza nataka kujua kama kuna uwezekano wa kupata kampuni ambayo inauza magari showroom ambapo ntakua naweka Pesa kidogo kidogo hadi ifike kiasi hicho ndo nichukue...
Habari zenu!
Kama unajua mtu anayekodisha shamba maeneo ya Arusha hasa Mushono, naomba mawasiliano yake.
Napenda bustani tangu utoto, nilikuwa na kibustani changu hadi siku moja nililisha shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.