0783693769 mkuu mtafute huyu jamaa anaitwa deo ni dalali maarufu na muungwana,,NATAFUTA SEHEMU YA KUANZIA NJIA PANDA YA MBEZI MPAKA KANISANI KWA CHINI ,KABLA HUJAFIKA NJIAPANDA YA CHUO KIKUU,,KISIWE MBALI NA BARABARA YA LAMI,,MAX KM MOJA UPANDE WOWOTE HASA ULE WENYE MAJI,,,ASANTENI....
asante,,,why unasema hayo yote????0783693769 mkuu mtafute huyu jamaa anaitwa deo ni dalali maarufu na muungwana
Mkuu nipe no yako nikupigie mimi Nina cha kwangu nauza mwenyewe au kama vipi nichk 0756060183,,NATAFUTA SEHEMU YA KUANZIA NJIA PANDA YA MBEZI MPAKA KANISANI KWA CHINI ,KABLA HUJAFIKA NJIAPANDA YA CHUO KIKUU,,KISIWE MBALI NA BARABARA YA LAMI,,MAX KM MOJA UPANDE WOWOTE HASA ULE WENYE MAJI,,,ASANTENI....
Weka BeiMkuu nipe no yako nikupigie mimi Nina cha kwangu nauza mwenyewe au kama vipi nichk 0756060183
Kipo apo Goba Jirani na njia panda ya kwenda chuo yaani njia ya Makongo n karibu na Goba mjini
Ww jamaa kwenye thread za viwanja huwa haukosekani, ww dalali nn!?Weka Bei
MnunuziWw jamaa kwenye thread za viwanja huwa haukosekani, ww dalali nn!?
Ukubwa was eneo mita 40 kwa 35 na bei yake 28ml na maongezi yapo japo kidogoWeka Bei
Utakuwa na kijiji sasa, angalia visijetaifishwa hii ni awamu ya tano usisahau.Mnunuzi
Vya halali MkuuUtakuwa na kijiji sasa, angalia visijetaifishwa hii ni awamu ya tano usisahau.