ASALI MBICHI KUTOKA TABORA

ASALI MBICHI KUTOKA TABORA

emoshi

Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
28
Reaction score
1
Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu mwenye uhitaji angekuwa anapatikana hasa hasa mikoa ya Kilimanjaro au Arusha. Kama una uhitaji ni pm tuongee bei na mambo mengine au kama kuna mtu uku anajua mahali mtu ananunua kwa jumla please naomba anisaidie kunijuza . Natanguliza shukrani zangu za dhati wadau.
 
Dumu moja shilingi ngapi nikisema mtu aliyeko tabora aje kuchukua
 
If you are selling honey at this tough economic conditions, you are in Tall water!
 
Back
Top Bottom