Nimechek nakumatt na shoprite sijapata .. nipe direction au zina jina lakeZinapatikana super market
Ngapi za ujazo gani?Mfano wake huu hapa ,,, transparent bags zenye zip au zinazojifunga ...![]()
![]()
Size ya A4 au A5 paper , nipe minimum ordering quantity tuongee biasharaNgapi za ujazo gani?
mpigie hyu jamaa mwambie kuna mshikaji kanipa namba natafuta zip lock bags anaitwa Shita 0754957320 ni procurement wetu atakuelekeza zinapopatikana!Size ya A4 au A5 paper , nipe minimum ordering quantity tuongee biashara
Poa poa thanksmpigie hyu jamaa mwambie kuna mshikaji kanipa namba natafuta zip lock bags anaitwa Shita 0754957320 ni procurement wetu atakuelekeza zinapopatikana!
Upo Ako mkuu?mpigie hyu jamaa mwambie kuna mshikaji kanipa namba natafuta zip lock bags anaitwa Shita 0754957320 ni procurement wetu atakuelekeza zinapopatikana!
Njoo pm!Upo Ako mkuu?
Nimekupm!Upo Ako mkuu?