Kiwanja kinauzwa 600m. Kipo Morroco, ukubwa wa kiwanja sqm 700. Kiwanja kimepimwa, kina hati, hakidaiwi na taasisi yeyote ya kifedha pia ni cha mtu binafsi.
Kwa mawasiliano zaidi 0652928075
Wakuu nawasalimu,
Naomba kujuzwa tu mwenzenu maana elimu yangu ndogo,ukinunua gari zanzibar lenye plate number za kule ukifika nalo Tanganyika bandarini kuna ushuru tena?je nikilileta nikitaka...
nauza madekio ya kisasa yanafanya kazi vizuri kama unavyoona kwenye video
bei ni sh 20000 (elf 20)
for more info call , text or
watsap me
0658825141 or 0621068486
Wadau habarini za asubuh. Nauza maeneo yangu yaliyoko dege jiran na "magorofa ya dege" kigambon. Viko viwili sehem moja na kila kimoja kina ukubwa wa mita 23*25. Viko kama mita 60 kutoka barabaran...
Chanika Mjini(Videte)
50Ft X 50Ft,
Bei: 4.5M.
Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.
Pamepimwa kienyeji vizuri kwa Makazi Bora.
Kiwanja #29 & #30...
Site ya Kujenga Mnara wa simu Inapatikana(KODISHWA). Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power)
Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site.
Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili...
Habarini ndg zangu.hongereni na majukumu. Ninatafta mteja wa mananasi yatakuwa tayari bada ya wiki moja. Mahali yalipo ni bagamoyo yeyote aliye tayari aje PM karibuni.
Namba yangu ya simu 0676494828.
Wadau, ni matumaini yangu hamjambo. Nauliza kwa yeyote mwenye kujua kuhusu biashara ya kuagiza spea toka dubai kuja Tanzania naomba aniunganishe ikiwezeka na wauzaji wa kule Dubai.
Natanguliza...
-Mabati haya ni mazuri sana kwa kujengea mabanda ya kufugia kuku, mbuzi n.k
-bado yako imara na MTU akiyapenda anaweza akayatumia kuyaezekea nyumba yake pia.
-hayatunzi joto sana,haina haja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.