Nyumba ya kisasa chanika 68ml

Nyumba ya kisasa chanika 68ml

ricostrong

Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
43
Reaction score
6
Nyumba imejengwa kisasa ina
Mastr bedroom 1
Single rooms 2
Sitting room kubwa ya kisasa
Dinning room
Jiko&store
Public toilet 2
Full tilest
Umeme upo
Nyumba ina fensi
0656 698232

8142f4c0c1f4b8f9fdb472b3cd299ff4.jpg

Eneo la kiwanja 26/24
 
Nyumba imejengwa kisasa ina
Mastr bedroom 1
Single rooms 2
Sitting room kubwa ya kisasa
Dinning room
Jiko&store
Public toilet 2
Full tilest
Umeme upo
Nyumba ina fensi
0656 698232

8142f4c0c1f4b8f9fdb472b3cd299ff4.jpg

Eneo la kiwanja 26/24
Bei ya mwisho kiasi gani ?ndani ina uwezo wa kuhifadhi magari mangapi na ya ukubwa gani?
 
Kuna shida gani CHANIKA? nimeona na mwingine hapo juu anauza nyuma,au kuna bomoabomoa Fulani wame I foresee
 
Kuna shida gani CHANIKA? nimeona na mwingine hapo juu anauza nyuma,au kuna bomoabomoa Fulani wame I foresee
Mkuu hamna shda yyte n vzur ukaja ukajiridhisha kisheria ili kutoa hofu mkuu bt kiuhalisia hamna tatzo
 
Memory card imejaa nini mkuu,mbona unapiga picha kama unaogopa au umevizia wenyewe hawapo ndio unapiga hizo picha kwa hofu wasije kukuta hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom