Nauza "Rolling Gates na Viwanja viwili"

Nauza "Rolling Gates na Viwanja viwili"

akazuba

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
533
Reaction score
485
IMG_20161124_135525.jpg
Salaam

Nauza rolling gates za ukubwa wa futi 9x9 yapo nane(8) na 9x7 yapo manne(2) bei nzuri sana. Yapo Tegeta Dar.

Bei ni tsh 550,000@

Pia viwanja viwili
Cha kwanza ni 35/40
Kina msingi wa Fensi
Kina maji ya bomba
Bei 15m

Cha pili ni 40/60
Kina bomba la maji
Bei 15m

Viwanja vyote vipo Visiga, Madafu Kibaha Pwani.

Maelewano yapo.

Nifuate inBox.
 
Weka Picha ndugu [HASHTAG]#Kunywamajimwanangu[/HASHTAG].
 
Nimekuja mbio bila breki nikidhani viwanja viko dar, kumbe viko mkoa jirani dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom