Natafuta shamba la kukodisha

Natafuta shamba la kukodisha

Satisfier

Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
54
Reaction score
78
Habari zenu!

Kama unajua mtu anayekodisha shamba maeneo ya Arusha hasa Mushono, naomba mawasiliano yake.

Napenda bustani tangu utoto, nilikuwa na kibustani changu hadi siku moja nililisha shule nzima mboga za majani🙂

Nataka kulima mbogamboga zote kwa kilimo cha umwagiliaji. Nahitaji heka 2. Bajeti yangu ni laki 5 kwa miezi 6.

Asanteni wanaJF
 
Back
Top Bottom