ESSENCE CONSULT LIMITED
It's a consulting company dealing with preparing, writing, editing and printing of reports, Proposals, Write -ups etc.
Feasibility studies.
Preparing Business plans...
ESSENCE CONSULT LIMITED
It's a consulting company dealing with preparing, writing, editing and printing of reports, Proposals, Write -ups etc.
Feasibility studies.
Preparing Business plans...
Rejea kichwa cha habari, inatafutwa laptop aina ya HP kwa gharama isiyozidi laki 250,000/=. Hela ipo cash.
Tafadhali tuma sms kwenda namba hii 0754828637.
Asanteni.
Ktk kutafuta ufumbuzi wa tatizo langu..nilianzia kwa councilors "ushauri nasaha"akanambia maliza kwanza mambo yako ya ndani ya nyumba tyen ndo ntaweza kuwa msaada kwako..nikaona huyu hajakata kiu...
Habari wakuu..
Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi hapa mjini nimeamua uza kitanda na godoro nirejee kijijini nikajiajiri
Kitanda ni futi 5 kwa 6 pamoja na godoro Dodoma vimetumika miezi sita tu...
Wadau wangu wa nguvu leo nimefungua jiko hapa Mabibo jeshini Ambagai bar Karibu sana mje mnipe kampani. Asubuhi ni supu ya utumbo wa mbuzi, supu ya nyama na mtori, mchana ni ugali nyama choma na...
Kutoka blog ya Bongo5 Unaikubali simu yako ya Tecno? Shinda safari ya Uingereza ukajiachie na supastaa | Bongo5.com
Kampuni ya simu ya Tecno hii leo imezindua kampeni ya Christmas ambayo...
Kwanza kabisa niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu katika eneo la ujenzi kwa maana ya quantity surveyor, architect, engineer. Kwa ufahamu wangu mdogo kama mtu wa kawaida ni kuwa, katika ujenzi wa...
habari,naombeni mnisaidie ni friji gani ambayo ni nzuri kwa matumizi ya nyumbani yenye gharama hadi ya sh 700000 humo,radio nzuri yenye mdundo mzuri pia na tv flat inch 32
Wadau wa JF naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata nyumba nzuri ya kupanga Mbeya, iwe selfcontained,isiwe kubwa sana ya wastani.msaada tafadhari.
Habarini wanaJF kwa yeyote anayehitaji nyumba kuna nyumba ipo maeneo ya kimara korogwe dk 5 toka kituo cha mwendokasi aliyepo anatoka mwezi wa 1 tar 10 haina udalali ni chumba,sebule,jiko choo...