Natafuta msaada wa Psychologist

Natafuta msaada wa Psychologist

mhnk

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
637
Reaction score
305
Ktk kutafuta ufumbuzi wa tatizo langu..nilianzia kwa councilors "ushauri nasaha"akanambia maliza kwanza mambo yako ya ndani ya nyumba tyen ndo ntaweza kuwa msaada kwako..nikaona huyu hajakata kiu yangu nikaenda kwa Neurologist mmoja "namhifadhi"alinisikiliza A-Z shida yangu then akaniandikia dawa za kumeza Lamotrigine/Lamitor ni mwezi wa 9 sasa niko kwenye doz siwez kuacha kea sabb nina mood disorder/depression...ss hiyo dawa pamoja na kunipa unafuu flan lkn inaniletea usngz so napata shida kazini..afu kichwa kinakuwa chini ya control fulani yan.siwez kufanya ninachojisikia kufanya ...nimegoogle matumizi yake inaonekana ni kwa ajili ya kucontrol wagonjwa wenye seizure,Alzheimer's Disease,Bipolar disorder,Anxiety,nk....
mengi zaidi nitayaeleza kwa atakayeweza kunielewa na kunishauri wapi pa kupata msaada...waweza ni pm pse..
 
Pole Sana Mkuu
Sio kila Saikolojist anaweza kufit kwenye kilatatizo.
Ni sawa na wanasheri na Madaktrari ni kwamba kila mmoja ni bingwa upande fulani licha ya kwamba wote anabeba jina moja.
Ku join JF kwenye ni robo ya Tiba tayari
Sasa hembu fungukla kiasi ili watu wajue wapi pa kuanzia kukushauri na kukuelekeza.
Ziada,je una Mke na watoto na wanafamilia wanajua hilo tatizo lako?
 
Back
Top Bottom