20x20 Goba mpakani. Karibu kabsa Mpakani Sec school.
Ina hati ya serikali za mtaa.
150 metres from main road.
Maji na umeme yapo
Bei 6 mls
Mpigie huyu
Call: +255714481167
Wadau amani iwe Nanyi.
Plot moshi inauzwa ipo Shia mjohoroni mbele kama una tokea kiborloni.
Ukubwa: 1ekari 150mita kutoka barabara kuu ya Moshi~Dar
BEI:50ml. hakuna udalali
Wasalaam members wa jamiiforums!..
Tunawakaribisha tena kwa ajili ya huduma za mtandaoni (online services). Tuna design website za kisasa na za aina mbalimbali, tunasajili domain na kuhost...
Habari, nipo mwanza Kwa wenye viwanda wanaohitaji dagaa kutoka kanda ya ziwa za kutengenezea vyakula Kuku anitafte, na supply kuanzia kilo 2000 anitafte no 0689884393. Asante
Wadau habari
Kama kichwa cha habari kilivyo, nimeipenda hiyo gari iko Japan nimeona bei yao ni 4.1mil hivi hadi inafika hapa na kuisajili inapaswa niandae kiasi gani, halafu hata changamoto zake...
ommytech.com inakupatia huduma ya hosting kwenye website yako pia kununua domain kwa bei rahisi kabisa kma utahitaji wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0752292473 karibun
SAMSUNG LAPTOP
CORE I3
6GB RAM
500GB HARD DISK
IKO VIZURI SANA ,BEI NI SHILINGI LAKI 4 .... 400,000/= ... MAELEWANO YAPO
NIPO MBEYA IYUNGA TUWASILIANE 0652 823513.
Kama unahitaji nyumba, viwanja, magari, vyumba, frem za maduka, nyumba za stoo(Godown) n.k. ndani ya jiji la Arusha, wasiliana
nasi kwa 0767287941
Kwa sasa tuna:
1. Nyumba Moshono yenye...
Mimi ni mkulima wa nyanya; niko mbio ni kuanza mavuno ya nyanya zangu. ni nyanya za kawaida pamoja na zile ndogo ndogo {cherry tomatoes} wengine wanaziita baby tomatoes. Nakaribisha mwenye uhitaji...
kwa yeyote atakayeisaidia wapi nitapata Karela tafadhali.nipo Arusha ila hata wa mikoani nitapokea tu.tafadhali nijulisheni ama mwenye nayo anijulishe.asanteni.kwa ushirikiano wenu.
Asalam wakuu
Binafsi naamini kuwa tatatizo la nguvu za kiume ni la kisaikolojia zaidi kuliko tunavyofikiria.
sasa hapa mtaani kwetu nilipita kwenye kijiwe cha kahawa chenye mchanganyiko wa wazee...
Hello wadau nina gari aina ya toyota surf naomba anayeuza Bampa la nyuma ya Gari na kile kikofia cha juu cha nyuma ya Gari aniuzie. ziwe kwenye hali nzuri ...nipo mwanza
Nauza kiwanja, kipo eneo linaitwa Italiani kabla haujafika Chanika, Limezungukwa na nyumba zilizoisha tayali, ni 20kwa 20. bei 3,000,000. Maelewano yapo. 0718571137, 0756528845
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.