EXTERIOR DECORATION

EXTERIOR DECORATION

GYNEOCOLOGIST

Senior Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
171
Reaction score
112
Kwanza kabisa niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu katika eneo la ujenzi kwa maana ya quantity surveyor, architect, engineer. Kwa ufahamu wangu mdogo kama mtu wa kawaida ni kuwa, katika ujenzi wa majengo kwa ajili ya makazi, biashara au ofisi ni lazima ipitie hatua kadhaa ikiwemo; uaandaji wa ramani ya jengo husika ambapo miongoni mwa vitu vya kuzingatia ni mahitaji halisi ya muhusika (client), hali ya hewa ya eneo husika, udongo wa eneo husika, ukubwa wa kiwanja, n.k.

Katika ramani itaonesha plan, real elevation, front elevation, left and right elevation. Hali kadhalika itaonesha namna mifumo ya umeme itavyopita, mifumo ya maji safi na maji taka. Muundo wa paa kama ni nyumba ya kuezeka au muundo wa slabs na columns kama ni nyumba ya ghorofa, n.k.

Hakika eneo la muhimu pia ni painting and decorations ambayo huoneshwa kwenye Bills of quantities (BOQ), hapa ndio kwenye hoja yangu. Naomba mtu mwenye uzoefu wa eneo hili anijuze ni aina gani za rangi zinaleta mwonekano mzuri kwa exterior decoration? Hapa namaanisha mtu anijuze rangi kwa majina yake hususan rangi za kampuni ya Sadolin ambao kwa sasa ndio wanatamba kwa ubora kwa kampuni za rangi za hapa nchini.
 
Mkuu haka kauzi kako mbona kama katangazo ka biashara hivi?!
 
Back
Top Bottom