Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wanaofanya biashara hii viroba naomba, tufahamishane nahitaji niwe nakuj kuchukua dar viroba ama pombe za paketi nakuja kusambaza mkoani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF, gari yangu Premio silver imeangusha bampa. Kwa anayeuza au kujua wapi wanauza anijuze. Ni Premio hizi zenye sensa. Kwa hiyo na bampa liwe na sehemu za sensa. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu Namtafuta huyu member wa jami forums anaitwa mbezifundi, naomba aje PM ama anipigie namba 0767304455
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Pilipili mbuzi ziko tayari kwa kuuzwa,Natafuta mteja wa kununua kwa jumla,nipo dar mbezi Beach,kwa maelezo zaidi nitafute kwenye namba 0752366770.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau anaehtaj till ya m.pesa(uwakala wa m.pesa) kwa tsh 150,000/= tu, Biashara kupatana mwenye uhitaji anicheck 0765-190024
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, naomba kujua duka ambalo naweza kupata hiki Modem Router yenye uwezo wa kutumia line za mitandao yote na iwe na uwezo wa kutumika ktk computer 10 au zaidi. Sitaki zile zinazotumia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kiko tegeta Madame kilomita 3 kutoka kiwanda cha twiga cement ukubwa 30×20 bei mil 12.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nipo Dar, nahitaji kingamuzi hicho kwa anayeuza aje PM tuzungumze
0 Reactions
3 Replies
636 Views
At Ziwa Garments and Apparel, we manufacture and brand Corporate Uniforms, Company staff Uniforms, we print full colour custom tee / custom t shirts, Polo shirts and various other uniforms. Our...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Ninauza Coaster Bus safi inafanya kazi ya daladala kati ya Temeke na Muhimbili. Gari ipo vizuri kama inavyoonekana katika picha na ipo barabarani inaendelea na kazi. Bei ni Mil. 13...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hivi vinegar cider Apple inatikana wapi? Na bei yake inaweza kuwa sh ngapi kwa anaejua
0 Reactions
2 Replies
787 Views
Boom j8 inauzwa TSH 340k inapatkana dsm kwa serious buyer njoo pm<br /><br />
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ninauza toyota progress ikiwa katika hali nzuri gari haina tatizo lolote haijawahi kufunguliwa injini AC inafanya kazi vizuri bei ni mil 6 ila haipungui anagalia picha ukipenda njoo tuongee 0656497469
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nauza pikpik Suzuki cc60 na speed60 vespa ina vibali vyote ila ina no. za Zanzibar ni ndongo mtu mmoja inasumbua plug tu nipo mitaa ya kinondon mkwaajun bei ni 400,000\ tu. sijui kuaplog picha...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Sitting room Master 1 Single 3 Full tiles Umeme maj vipo 0620712725
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Viwanja vinauzwa kilwa road dar, Nyuma ya kiwanda cha bakhresa panaitwa chatembo, Bei mil.3, Ukubwa 50×50 kipimo cha futi. Kwamawasiliano/maelezo zaid 0683775566, 0714775566. [...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kwa siku mbili mfululizo najaribu kupata shule walizopangiwa wanafunzi wa darasa la saba mwaka huu (2016) bila mafanikio.Je kuna mtu anaweza kunijuza wapi naweza kuyapata?au akaniwekea link...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
WADAU NIPO DAR ES SALAAM- POSTA NATAFUTA NEW NOKIA LUMIA NITAPATA DUKA GANI GENUINE MAANA FEKI NYINGI MJINI
0 Reactions
6 Replies
1K Views
gari iko vizuri sana kuanzia body hadi mashine..... Engen ni 1g kavu Imetembea kilomita 152000 Haidaiwi vibali... Bei ya kuuzwa ni 3.7mln Kwa mawasiliano zaidi piga Sim 0715591141....dan
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu mzigo ninao kwa anaejua sehemu wanapouza anistue
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…