pikipiki for sale 400k

pikipiki for sale 400k

Eduin

Senior Member
Joined
May 15, 2014
Posts
189
Reaction score
136
nauza pikpik Suzuki cc60 na speed60 vespa ina vibali vyote ila ina no. za Zanzibar ni ndongo mtu mmoja inasumbua plug tu nipo mitaa ya kinondon mkwaajun bei ni 400,000\ tu.

sijui kuaplog picha ila kama unania 713 123 160 ndo namba yangu.
 
Ni kwa matumizi ya watoto mkuu? Speed 60 kutoka malamba mawili mpaka nifike posta na kibaruni ntachelewa na ntaonekana nalinga baada ya kununua usafiri kumbe ,hauna kasi walau cc 120 kama IPO mkuu tufanye biashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom