ya mufindi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 505
- 732
mnunuaji utakaempata hua anaenda kuiuza Syria..ataitaji nauli na pesa ya malazi kwenda Syria..uwe tayari kwa iloWakuu mzigo ninao kwa anaejua sehemu wanapouza anistue
Ko siwezi pata mteja kabisa auNairobi au Mombasa ndipo sehemu ya kuuzia.
Hata hivyo rupia haiuzwi, pesa hutolewa kama sadaka.
Pia, rupia hutumika kuvutia bahati na ngekewa.