Coaster inauzwa dar 13M. Mazungumzo yapo.

Azizi Mussa

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2012
Posts
9,198
Reaction score
7,539
Wakuu,

Ninauza Coaster Bus safi inafanya kazi ya daladala kati ya Temeke na Muhimbili. Gari ipo vizuri kama inavyoonekana katika picha na ipo barabarani inaendelea na kazi. Bei ni Mil. 13. Mazungumzo yapo kwa hiyo kama upo serious njoo tuzungumze. Kwa mawasiliano piga 0657457971 au 0685247148 (msimamizi wa gari). Karibuni sana wakuu gari ipo sokoni!
 
Attachments

  • coaster 7.jpg
    coaster 7.jpg
    286.4 KB · Views: 166
  • coaster 1.jpg
    coaster 1.jpg
    325.9 KB · Views: 120
  • coaster 04.jpg
    coaster 04.jpg
    152.9 KB · Views: 110
  • coaster 08.jpg
    coaster 08.jpg
    34.1 KB · Views: 104
Napata ukakasi mdomoni. 13mil coaster!!!! Ebu eleza inatatizo gani ili mtu aangalie kama atakuwa na hela ya ziada ya kurekebisha hilo tatizo.
 
Mkuu ungetuambia na injin namba na plate namba!! Na inatatizo gani!! Maana hiyo bei inatia ukwakwasi kidogo!!! Vp ilishashwashwa mashine!!!na jee inadaiwa!!!
 
13?
Mi ni mwiitaji sana, na hela ninayo, eleza kwanza kwa uwazi shida yake au npm
 
Napata ukakasi mdomoni. 13mil coaster!!!! Ebu eleza inatatizo gani ili mtu aangalie kama atakuwa na hela ya ziada ya kurekebisha hilo tatizo.
imetumika isharudisha hela sasa naiuza naongezea pesa nanunua nyingine. Shida yake tairi moja upara, na rejeta imechoka japo inafanya kazi kama kawaida ila ni vizuri kuibadilisha maana inatoboka mara kwa mara.
 
Mkuu ungetuambia na injin namba na plate namba!! Na inatatizo gani!! Maana hiyo bei inatia ukwakwasi kidogo!!! Vp ilishashwashwa mashine!!!na jee inadaiwa!!!
Ina faini ya trafiki 30,000 ila nitailipa mwenyewe.
 
Wakuu,

Ninauza Coaster Bus safi inafanya kazi ya daladala kati ya Temeke na Muhimbili. Gari ipo vizuri kama inavyoonekana katika picha na ipo barabarani inaendelea na kazi. Bei ni Mil. 13. Mazungumzo yapo kwa hiyo kama upo serious njoo tuzungumze. Kwa mawasiliano piga 0657457971 au 0685247148 (msimamizi wa gari). Karibuni sana wakuu gari ipo sokoni!
Hii gari bado ipo mkuu?
Kama ipo njoo inbox
 
Back
Top Bottom