Mkuu msaada tutani ..napata msg ya 'can't connect camera 'kila nikitaka kupiga picha ..nini inaweza kua shida kwa ujuzi wako..+ any possible solution. Thanks in advancehakikisha tu lumia unayonunua inakubali windows 10. budget yako ni around ngapi?
jaribu app nyengine ya camera kwanza, cheki store kupata app za cameraMkuu msaada tutani ..napata msg ya 'can't connect camera 'kila nikitaka kupiga picha ..nini inaweza kua shida kwa ujuzi wako..+ any possible solution. Thanks in advance