Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,775
Habari wakuu, naomba kujua duka ambalo naweza kupata hiki Modem Router yenye uwezo wa kutumia line za mitandao yote na iwe na uwezo wa kutumika ktk computer 10 au zaidi. Sitaki zile zinazotumia modem ya kuchomeka, nahitaji ile yenye sehemu ya kuweka line hapo hapo. Naomba kufahamishwa bei pia. Ahsanteni.