nauza toyota progress mil 6

nauza toyota progress mil 6

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
ninauza toyota progress ikiwa katika hali nzuri
gari haina tatizo lolote
haijawahi kufunguliwa injini
AC inafanya kazi vizuri
bei ni mil 6 ila haipungui
anagalia picha ukipenda njoo tuongee 0656497469
WP_20160525_003.jpg
WP_20160525_005.jpg
WP_20160525_010.jpg
WP_20160525_011.jpg
WP_20160525_008.jpg
 
Upande mmoja imebonyea ni ajali au..nakupa 4.5..!!
 
Sijui sana kuhusu hii gari,ila ndani imepangwa vizuri sana,hasa dashboard.
 
Ni gari moja yenye cc kubwa sana, inaspeed ya hatari, imetulia barabarani km banz, tatizo lake ulaji wa mafuta!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom