habari wana jamvi,
kuna baiskeli naiuza,ipo kama zile za Azam za kuuzia ice cream, ila hii unaweza kuuzia vitu mbali mbali kama ice cream, juice,barafu,vitafunwa, vitu vya urembo n.k
Bado ni mpya sijaanza kuitumia
Napatikana Dar es salaam
Bei ya kuanzia ni laki nane (800,000) ila inapungua kidogo baada ya maongezi
tuwasiliane kuongea biashara
0653116399