DAWASCO

DAWASCO

Kadanga

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
98
Reaction score
57
Nimekatuwa maji kisa nimempa jirani maji kwamawazo yangu nilithani unit zinapo tumika kwawingi nifuraha kwa DAWASCO kumbe nikinyume, nimekutwa nawakaguzi wa mita nikiwa nampa maji jirani wakanikatia maji, kwakuwa sijui sheria hiyo nimekuwa mpole, nilithani ningeathibiwa kama maji yasingekua yanapitia kwenye mita, swali ni je mita inapozunguka nifaida au
hasara kwa DAWASCO? Nahisi ni faida sasa unaponikatia maji kwa kosa lenye faida kwa shirika nisawa Kweli? Naomba mawazo yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom