Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta screen display ya simu ya LG G2 D801 Kama unaweza kuwa na hiyo simu uniuzie kama spare part niPM
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Ninatengeneza na kuuza ndala/Viatu nzuri na Makapeti ya kufuta uchafu miguuni Rejareja na Jumla. Rejareja Piece 1 = 3000/= Jumla Piece 1 = 2600/= Kapeti Piece 1 =5000/= 0717 872 020
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Tupigie sasa kwaajili ya maelezo zaidi. 0713992607, 0687124275 kwa kazi zetu zaidi tafadhali follow page yetu ya instagram @fortunestudiostz au tovuti yetu www.fortunestudios.co.tz Count on us...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari! Kama kichwa hapo juu, ninauza bus aina ya Eicher (Skyline) namba CVZ. Gari ni yangu. Sababu, nimeanza kufanya shughuli nyingi mikoani na imekuwa changamoto kusimamia. Gari ipo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ina jumla ya vyumba vitatu, kimoja ni master, sebule kubwa,, jiko la kisasa,, Choo cha ndani. Ndani ya fensi yenye pavings Ipo mbezi beach tanki bovu nyuma ya Jengo la SHAMO TOWER Call 0689315582
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
749 Views
SHAMBA LINAUZWA SHAMBA LINAMILIKIWA KISHERIA UKUBWA: EKARI 184 MAHALI: IKWIRIRI RUFIJI SIFA ZA SHAMBA ►UDONGO WENYE RUTUBA ►BARABARA MPAKA SHAMBANI ►KARIBU NA UMEME...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Simu tajwa hapo juu inauzwa kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa namba 0625552440
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pata korosho zilozookwa kwa utaalam Kutoka Lindi. .= .Kwa mawasiliano njoo P.M
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Tunatengeneza na kudesign blogs kwa bei poa kabisa. kwa mwenye uhitaji contact 0659505081
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Nauza nyumba ina vyumba sita imeisha ila tu kuezekwa, ila imeezekwa kikawaida vyumba vitatu vinakaliwa, ina frem moja mbele lakini lipo eneo la kuongeza frem zingine nne na eneo lingine la kujenga...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
nimeitumia mwezi mmoja inakaa na chaji vizuri inachaji simu hadi 100%full. Bei elfu 30,000 nipo dar simu 0718229905
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamani limepita juma moja tu, tangu nilipo semea smell mbya ya itakanayo na mgegedano, kwa wkaz wa sinza na wapita njia, nilisema wazi kuwa yawzekana sinz get zake nyingi hazina maji, sasa hii...
2 Reactions
3 Replies
968 Views
Habari zenu wadau wa jukwaa hili. Rejea kichwa cha habari hapo juu, nina haja na bluetooth speaker nzuri yenye mziki mnene ambao upo clear masikioni, inayoshabihiana na device mbali mbali kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Whatsapp me 068504443
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu. Na wote wenye ndoto za kumiliki Iphones. Iphones used zilizo katika hali bora zinapatikana. Unachotakiwa ni jambo jepesi tu. Weka iphone unayohitaji nitakupatia bei zake na...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Natafuta mafundi wa kuchora wallpaper kwenye sakafu kama unaweza rusha picha ya wallpaper zako ntakupigia
1 Reactions
0 Replies
917 Views
Inapatikana tegeta karibu na barabara ya kwenda twiga . . Ina hati.. vyumba vitatu, kimoja master,, sebule kubwa, dining, jiko, public toilet, na uwanja mkubwa nje kama inavyoonekana.. Ipo...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
inahtajika toyota ist,raum au spacio,iwe kwenye good condition na haidaiwi.Nina cash hata sasa hv, nichek 0628785275
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom