Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,762
- 2,678
Habari wakuu.
Kuna Kiwanja nataka kununua Tuangoma kwa sako. Naomba mwenye taarifa za eneo hili kama ni salama kwa maana mipango miji yake haitaleta shida huko mbele.
0713-039875