INAUZWA Picha: Boxer Bm 150

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
2,648
2,000
Bei tsh 1300,000
Niko dar es salaam
Maelewano yapo
Ilikuwa kwa matumizi ya nyumbani so bado iko katika hali
nzuri
Simu:07182 95 182

---------------------------
Bango

IMG_20161217_121615.jpg
IMG_20161217_121726.jpg
IMG_20161217_121615.jpg
IMG_20161217_121631.jpg
IMG_20161217_121615.jpg
IMG_20161217_121631.jpg
 

Jembekillo

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
4,237
2,000
Sikukatishi tamaa mkuu ila pikipiki yenye namba za zamani ni ngumu kuuza labda uibadilishe mwenyewe namba kuwa MC hapo utauza angalau

maswali yangu kabla ya kuiona
  1. ina tatizo gani
  2. inadaiwa sh ngapi na TRA
  3. kadi imeandikwa jina lako au la kampuni
  4. je unaweza kukubali malipo kwa awamu yaani unabaki na kadi/pikipiki mpaka malipo yakamilike within time
bei ya mwisho sh. ngapi
0718151415
 

Abramovic

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
294
500
Mkuu hiyo mi nainunua nakuhakikishia, kadi ina jina lako? Inadaiwa kiasi gani TRA? Kuhusu namba ntabadilisha mwenyewe. Pia imetembea km ngapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom