Jipatie kwa bei poa Tecno C8 na Boom J8

salaniatz

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,678
2,000

TEKNO C8 230000
TEKNO BOOM J8 280000
Hazina tatizo lolote
Location DAR and MORO
0713055107
 

tikilili

Member
Jul 16, 2016
39
95
Hhaahaaaaahahaa usije ukanunua sababu hizo ndio sim aiseeee teckno j8 ndio mpango mzima
 

totolito

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
703
500
Mbona siwaelewiii tecno wanashusha hadhi cm zao cm iuzwe laki 4 haijafika hata miezi 5 iuzwe laki 280000 hivi tecno wanajielewaa kweli ?
 

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,527
2,000
Mbona siwaelewiii tecno wanashusha hadhi cm zao cm iuzwe laki 4 haijafika hata miezi 5 iuzwe laki 280000 hivi tecno wanajielewaa kweli ?
Hata hivyo Tecno hazina hadhi tu toka kitambo utatumiaje simu za ajabu ajabu Storage capacity kuuuuubwaaaa halaf RAM ndoooogoooooooo.....!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom