Site ya kujenga Mnara wa simu: available for LEASE

Site ya kujenga Mnara wa simu: available for LEASE

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power)

Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site.

Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara.

Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200 with a title deed.

Site iko Ilala Buyuni, Chanika.



Rent: Maelewano.

Picha zinapatikana kwa Whatsapp.

Karibuni.


IMG_1482075890.803889.jpg
 
Hili linawezankuwa tangazo la biashara la kuvunja rekodi ya 2016,
 
Back
Top Bottom