Ni eneo zur liko barabaran kabisa karibia na magorofa ya dege. Umeme umepita na barabara ya lami. Umbali ni mita 50 kutoka main road. Ukubwa ni mita 23*24. Bei ni milion 6 maelewano yapo. Hakuna...
Kwa mahitaji ya; UCHORAJI, MIHURI, KUANDIKA NAMBA ZA MAGARI KWENYE VIOO, KUANDIKA VITAMBAA VYA MATANGAZO, KUANDIKA ARAMA ZA BARABARA, VIBAO VYA CONTRACT, KUANDIKA MABANGO KWA KUTUMIA RANGI NA...
nauza cd za mafunzo ya dish pamoja na kuweka software, CCTV camera, simu za maofisini na jinsi ya kutengeneza mashine ya kunyonyolea kuku kuku manyoa kwa anaehitaji aje pm cd moja ni 5000/=
UPDATED...
Habari zenu wakuu,
To the point,
Well niko na muwakilishi wa kiwanda cha ma carpet kutoka Egypt anatafuta wanunuaji wa jumla wa mzigo wa high quality textile and plastic carperts...
Aliyepo mbeya wandugu nisaidieni ambaye ana mayai kwa ajili ya kutotolesha
I we
Chotara
Kenya
Kuloiler
Au Kali
ni hitaji la haraka na hitaji mayai 150
Niko mbeya ileje
0753445531
Viko Mbezi Mpiji Magoe karibu na hospital ya mpiji Magoe vyote vinafikika kwa barabara Viko vya ukubwa mbalimbali kulingana na uhitaji wa mteja.
Bei kuanzia tsh 1.5m tu
Kwa taarifa zaidi piga...
http://afyazaidi.org/wp-content/uploads/2016/12/MPANGO-WA-ELIMU-NA-USHAURI-WA-AFYA-KUPITIA-SIMU-ZA-MKONONI-1-1.pdf
Jiunge na AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS sasa iliupate elimu na ushauri wa afya...
kiwanja cha ekari tano .kila eka moja milioni tatu.kipo mlandizi karibia na kiwanda kikubwa cha kutengeza vyuma cha kuluwa.sio mbali kutoka barabara kuu..karibuni