Pesa nzuri till ya airtel money walioko Moshi au Arusha

Kiny

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
289
57
Natafuta till ya airtel money iwe Moshi au Arusha iwe mpya au used active mwenye nayo anitumie SMS au Watsap 0757620622 (please usipige au unaweza nitumia text nikakupigia mwenyewe)

Bei/ dau : Tsh.50,000 maongezi yanaweza kufanyika zaidi kutegemea na muuzaji na sehemu alipo.
 
Back
Top Bottom