Naomba kujua hawa RM Computer wako wapi hapa Dsm

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,551
1,776
Habar wadau kuna hawa jamaa wanajiita RM computer, wanauza computer za jumla, naomba kujua kama kuna anae wafahamu na wako wapi, nimeona stika kwenye computer ila haina mawasaliano.
 
Back
Top Bottom