Nahitaji gari, nina milioni tano

riba

Member
Dec 30, 2016
23
13
Wakuu nina milioni tano nataka gari mpya inayo endani na hela yangu ...kuna uwezekano wa kuipata wakuu. ...kwa hio hela..?

Msaada na ushauri PIA napokea wakuu...
 
Wakuu kwa gari kama scarlet hapo kwenye million tano niongeze kama ngapi ivi ili niwenayoo.......
 
Wakuu nina milioni tano nataka gari mpya inayo endani na hela yangu ...kuna uwezekano wa kuipata wakuu. ...kwa hio hela..?

Msaada na ushauri PIA napokea wakuu...
Jamani wadau naombeni tafrisi ya neno gari mpya.
 
Back
Top Bottom