Fridge dogo used inahitajika

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,591
2,000
Dah Nina fridge kubwa, used iko vizuri sana...Naiuza kwa 150,000/- tu. Ukihitaji nicheki pm
 
robert sendabishaka

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
2,521
2,000
matangazo mengine wakuu muwe mnajifunza hata kuibia elimu kwa majirani. unata jokofu lakini husemi uko wapi. mawasiliano yako, huelezei gharama za kusafirisha utalioa mwenyewe au la! hata ungekuwa unakaa kigamboni na mimi niko posta lazima gharama ihusike. vipi nikiwaza unakaa Lindi Mtwara na muuzaji yuko Rwamishenye Bukoba. tujifunze kupunguza utata usio wa lazima.
 
Mr.Wenger

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
1,726
2,000
matangazo mengine wakuu muwe mnajifunza hata kuibia elimu kwa majirani. unata jokofu lakini husemi uko wapi. mawasiliano yako, huelezei gharama za kusafirisha utalioa mwenyewe au la! hata ungekuwa unakaa kigamboni na mimi niko posta lazima gharama ihusike. vipi nikiwaza unakaa Lindi Mtwara na muuzaji yuko Rwamishenye Bukoba. tujifunze kupunguza utata usio wa lazima.
Wanaasume watu wote wapo Dsm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom