Jinsi ya kuwa na sura nzuri na ngozi nyororo

said rashid

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
203
110
KITABU IMAGE.jpg

Watu wengi tumekuwa tukitumia vipodozi kama losheni, mafuta, sabuni, poda, krimu na pafyumu kila siku kwa malengo ya kupendeza na kuvutia. Pia tunatumia ili kuondokana na matatizo kama vile chunusi, madoa, makovu, mafuta mengi usoni, ngozi kavu na kadhalika. Swali ni je, unapata matokeo unayoyataka? Pili ni je, havikuletei matatizo mengine?

Baada ya kuhudumia watu wengi na kuwasaidia kupona chunusi na makovu ya chunusi AFYA ZAIDI CONSULTANTS tumegundua kwamba watu wengi hukosa ushauri wa kitaalam na hawapati matokeo mazuri, hivyo wanabadilisha vipodozi mara kwa mara na kupoteza pesa nyingi. Pia wengi wao wanatumia vipodozi visivyo salama na hupata madhara mbalimbali na kuharibikiwa zaidi na ngozi zao kutokana na ushauri mbaya na matumizi ya vipodozi visivyo salama na vile visivyoendana na ngozi zao.

Ili kukabiliana na matatizo hayo na kusaidia watu kupona matatizo yao kwa uhakika na kuwa na ngozi nzuri, AFYA ZAIDI CONSULTANTS tumeandaa semina itakayofundisha watu mambo yote yahusuyo vipodozi, uzuri wa ngozi, kukabiliana na matatizo mbalimbali ya ngozi kama chunusi, madoadoa, makovu ya chunusi, mafuta mengi usoni, ngozi kavu nk kwa watu wote bila gharama kubwa.

Semina itafanyika MAGOMENI MAPIPA, DAR ES SALAAM siku ya jumamosi ya tarehe 14/1/2017 katika ukumbi wa RECREATION HALL uliopo jirani na NEW BONDENI HOTEL na STATE COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES kuanzia saa 4 kamili asubuhi. Ada ya semina hii ni Sh. 3,000/= tu.
Pia unaweza kupewa elimu na ushauri kupitia simu yako ya mkononi popote ulipo Tanzania.

Kwa nini uendelee kuteseka? Pona sasa na uwe na amani.
JIANDIKISHE MAPEMA KWANI NAFASI NI CHACHE.

Kupata tiketi yako na kuhudhuria tafadhali wasiliana na
AFYA ZAIDI (AZ) CONSULTANTS
Wataalam na Washauri wa Afya, Urembo na Vipodozi
Simu : 0659528724 au 0784082847
Barua pepe : info@afyazaidi.org
www.afyazaidi.org
 
Back
Top Bottom