Wataalam wa kuandika research proposal

hapakazit

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
839
663
Hai wana jamvi naomba msaada kwa mtu yyte mtaalam wa kuandika research proposal maji yamenifika shingon msaada pliz kwa wajuzi tutaongea ki utu uzima on dat project
 
Mkuu uandikiwe halafu ukafanye,mm.Sasa Kama huwezi kuandika kufanya utaweza kweli.Wewe utakuwa na cheti fake.Duh,kweli hii TZ.
 
First, this is seriously unethical. That part is obvious.

Legally — well, I’m not a lawyer, but I suspect that you are actually participating in an act of fraud, but I have no idea whether that would ever be pursued, or stand up in court. But again, suborning fraud is unethical, at very least.

MKUU, our Academic Integrity policy doesn’t have a time limit, utamaliza leo baada ya Miaka kadhaa unakuja vuliwa hiyo Digrii yako!
 
Mkuu kama unataka uandikiwe siyo poa
unacho taka ukifanye ni kosa ki academic

Labda kama unataka uelekezwe tu, na ni bora ungepost hapa tukusaidie unacho shindwa
 
Komaa na supervisor wako huku unapoteza muda, supervisor wako ndio kila kitu. Fanya km anavyotaka/anavyokuelekeza. Ulifanya mchezo na hii kitu utaangukia pua
 
Hai wana jamvi naomba msaada kwa mtu yyte mtaalam wa kuandika research proposal maji yamenifika shingon msaada pliz kwa wajuzi tutaongea ki utu uzima on dat project
Njoo pm mimi nitakusaidia kwa ushauri wa kitaalam etc..hiyo kazi ndogo.
 
Hai wana jamvi naomba msaada kwa mtu yyte mtaalam wa kuandika research proposal maji yamenifika shingon msaada pliz kwa wajuzi tutaongea ki utu uzima on dat project
Njoo PM mkuu...ntakusaidia kimawazo hadi utamaliza kuandaa hyo proposal. Kumbuka: Sitakuandikia ila ntakuelekeza.
 
First, this is seriously unethical. That part is obvious.

Legally — well, I’m not a lawyer, but I suspect that you are actually participating in an act of fraud, but I have no idea whether that would ever be pursued, or stand up in court. But again, suborning fraud is unethical, at very least.

MKUU, our Academic Integrity policy doesn’t have a time limit, utamaliza leo baada ya Miaka kadhaa unakuja vuliwa hiyo Digrii yako!
Acha ushamba! Research proposal sio lazima iwe ya ACADEMIA. Inaweza kuwa kwa ajili ya project muhimu ndani ya jamii, hivyo si lazima iandikwe na donor au mwanzilishi wa hiyo concept! Mdau, njoo inbox tuongee kibiashara mimi pia ni mtaalamu wa fani hiyo.
 
Mkuu kama unataka uandikiwe siyo poa
unacho taka ukifanye ni kosa ki academic

Labda kama unataka uelekezwe tu, na ni bora ungepost hapa tukusaidie unacho shindwa
That's all i mean nataka nifundishwe sio niandikiwe na hapa sitaelewa
 
Mkuu uandikiwe halafu ukafanye,mm.Sasa Kama huwezi kuandika kufanya utaweza kweli.Wewe utakuwa na cheti fake.Duh,kweli hii TZ.
hahahah, akishaandikiwa atameza ABSTRACT ili siku ya kudefend awe vizuri hahahahahahah, kasheshe akitokea mmojawapo kwenye jop amuulize ataje japo vitabu vitano alivyotumia, hahahahah
 
Hai wana jamvi naomba msaada kwa mtu yyte mtaalam wa kuandika research proposal maji yamenifika shingon msaada pliz kwa wajuzi tutaongea ki utu uzima on dat project
HIYO NDIYO ELIMU YA KUNUNUA, TANGU LINI MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEJIITA MSOMI AKAANDIKIWA RESEARCH PROPOSAL? NINYI NDIO WENYE VYETI LAKINI KICHWANI ZERO, MSIOWEZA KAZI YOYOTE KWA SABABU UNA VYETI LAKINI ELIMU HUNA. WAPO WENGI SANA HASA WANAOSOMA MASTERS ZA JIONI. FANYA MWENYEWE AU DISCO.
 
Ahsante kwa msaada wako
 
Acha ushamba! Research proposal sio lazima iwe ya ACADEMIA. Inaweza kuwa kwa ajili ya project muhimu ndani ya jamii, hivyo si lazima iandikwe na donor au mwanzilishi wa hiyo concept! Mdau, njoo inbox tuongee kibiashara mimi pia ni mtaalamu wa fani hiyo.
Ahsante, ila sidhani kama nitaweza kuacha USHAMBA.
 
Back
Top Bottom