Msaada: Gharama za mpakani Kenya

Msaada: Gharama za mpakani Kenya

biasharaTz

Senior Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
163
Reaction score
79
Habari zenu
Naomba msaada hasa wasafirishaji wa mizigo kwa njia ya barabara au wenye malori naomba kujua gharama za
1. Road Toll 2. City Council 3. Na zozote zinazotakiwa kulipwa kwa lori kuingia nchini Kenya. Mpaka nataka lori lipite ni wa Horohoro kuingia Mombasa. Mimi ni msafirishaji wa mzigo tu hivyo masuala ya ushuru wa mzigo sihusiki nayo. Nahitaji kupata gharama za kulipia lori tu
Wasalam
 
Road toll ni dola 12 kwa gari ya excell tatu na zaidi kwa kila km100. Lakini mfano kutoka horohoro hadi mombasa ni km 240 basi hapo ni km 300. Sijui umeelewa???
 
Habari zenu
Naomba msaada hasa wasafirishaji wa mizigo kwa njia ya barabara au wenye malori naomba kujua gharama za
1. Road Toll 2. City Council 3. Na zozote zinazotakiwa kulipwa kwa lori kuingia nchini Kenya. Mpaka nataka lori lipite ni wa Horohoro kuingia Mombasa. Mimi ni msafirishaji wa mzigo tu hivyo masuala ya ushuru wa mzigo sihusiki nayo. Nahitaji kupata gharama za kulipia lori tu
Wasalam
Falcon mombasa njoo utoe msaada humu
 
Lori inaishia pale Kwale county kiwanda cha sukari. Sasa nilitaka kupata gharama za Road toll, COMESA, city council et al.
Mkuu saju sijakuelewa vema hapo hesabu zake. Japo Nimeambiwa kutika Horohoro hadi Ramisi, Kwale county ni Km 40 lkn nimeona kama Km 70 hv. Msaada plz
 
Wakuu nimepata gharama na zimekuwa confirmed na kampuni napopeleka mzigo wao. Hivyo uchakachuaji wa madereva hakuna tena. Kwa faida ya wote gharama ni hizi:
ROAD TOLL-13414KSH
MUNICIPAL TZ-1000KSH
MUNICIPAL KENYA-2500
KEPHIS-600
POISON BOARD-1000
C.I.D-1000
Jumla ni ksh19,514
Regards
 
Back
Top Bottom