Vyumba vya kupanga dodoma

Vyumba vya kupanga dodoma

Borderlandz

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Posts
548
Reaction score
730
Kuna jamaa anatafuta chumba cha kuishi Dodoma kama kuna mtu mwenye taarifa zozote kuhusiana na vyumba maeneo haya msaada please!
 
Mwambie akifika Dodoma aende maeneo ya ccm makao makuu kwa upande wa pili kuna kituo cha mafuta karibu forts building kuna madalali awaulizie kuhusu chumba
 
Back
Top Bottom