Ipo maeneo ya Chamwino Morogoro, mita 100 kutoka lami ya Iringa road ina maji umeme bado haujavutwa ila upo wa uhakika na maji ya uhakika, bei mil 23 maelewano...
Habari za jumatatu wakuu, kuna ndogo angu kaamua kujiajiri mwenyewe.
Ameanza na mtaji wake mdogo wa laki mbili huwa anachukua viatu dar nakuvipeleka mkoani Kama Moro na Dodoma.
Sasa anahitaji...
Shamba lipo Tanga Pongwe panapojengwa mji mpya. Heka nne (4) inatakiwa kubadilishana na noah namba D new medel au noah vox.
Sifa za shamba;
Kilometer mbili na nusu toka main road ndio kunajengwa...
Habari.
INAPANGISHWA:
Ni vyumba 2 (Viwili) kati ya hivyo kimoja ni Masta,
Yenye Sebule kubwa na Jiko Lake pamoja na Choo cha Nje kwa Wageni.
Nyumba ina Sakafu ya Tiles, Ceiling ya Plywood na...
Habari zenu waungwana?
Nauza Toyota Caldina ya mwaka 2002
Ukubwa wa Engine Cc 1990
Kilometa elfu 63,000
Rangi ya Gari Pearl white
Namba ni DFT
Ipo katika hali nzuri sana bei milion 9.
Habari,
Taarifa njema kwa wanachama na ambao wanatarajia kujiunga,
MoonAfricanLight inatoa fursa pekee kwa watu 50 wa kwanza watakao wahi, ambao watalipa tsh 30000/ tu watasajiliwa na kuwa...
Bestates Properties
Contact: 0786157788
kinauzwa • TSh milioni 185 • kijichi, kata ya Mtoni Kijichi
Wastani wa ukubwa ni 900sqm • kina leseni ya makazi • kina nyumba ya vyumba 4 vya kulala na...
Nahitaji korosho kwa wingi. Korosho ambazo zishabanguliwa, zile nyeupe na ambazo hazijachanganywa. Packaging ziwe katika kilo moja moja... Nipo Dar... Kama unazo kuja inbox
Karibu Autoguru workshop ujupatie kitanda cha double decker kwa bei nafuu ya sh 480000 tu. Tunapatikana Kinondoni Manyanya mkabala na msikiti wa BAKWATA mtaa wa Brazil. Tuwasiliane kwa namba...