...Kuna Milango ya iliyotengenezwa na mbao za mininga inauzwa ni pure mninga haina kovu wala doa ipo 50 (Hamsini) Bei yake ni 350,000 ipo Dar es salaam.. Urefu ni Cm 220 na upana ni Cm 90 Kwa...
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI.MAGENGENI KWA URASA.UKITOKA FERY NI DK 5 KUTEMBEA KWA MIGUU.INA VYUMBA VINNE(4) VYA KULALA,KIMOJAWAPO NI MASTER.HIVYO VYUMBA VINGINE VITATU VINA-SHARE-(TUMIA) CHOO...
Tunatengeneza;
dawa za choo (disinfectants )
sabuni ya maji kama termol kwa ajili ya usafi wa nyumba na nguo na dawa ya kusafisha tiles na sink.
BEI NI NAFUU KWA MAWASILIANO 0753491777 AU 0763023661
Mdc ndilo jibu lako we are team of dedicated car agent we deal with selling of used car in tanzania and japan we can get you a car of you choice at your budget we exchange used car with new car...
Tuone mushi distrubution company mdc tunadeal na uuzaji wa magari na pia tunasaidia watu kuuza magr yao katika accurate time
Tupo fire kariako
Pia tunaagizia watu magar kutoka japan
Pia...
Habar zenu wana JF,
Ni muda sasa nimekua najishugulisha na kutoa huduma za ICT hasa zikiwa kama
consultation, kwahyo nakuja huku pia kuwajuza watu mbali mbali kuhusu hizi huduma. Kama utakua na...
Jipatie hii Router na uweze kuunganisha hadi vifaa 10 kwa pamoja.
Mnaweza kushare simu zote nyumbani pamoja na PC/Tablets/Smart TV/Game Consoles/cctv IP-cameras etc
Bei: 60,000/-
Location: Dar
Habari wana jamvi!
Nauza viatu vizuri vya ngozi kwa ajili ya shule na hata mitoko mbalimbali(kwa wavulana) vya kike na kiume.
Ni viatu vilivyotengenezwa hapa hapa Tanzania na watanzania...
Habarin wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nauza mikoba ya kina Dada wadada wa jf na wakaka wa jf njooni muwanunulie mawifi zangu mikoba.
Mikoba mizuri i imebaki michache mwanamke...
kwa mahitaji ya kiwanja au mashamba kwa dsm..
Viwanja vinauzwa kilwa road mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa,
Ukubwa ft 50×50 bei mil.3,
Mashamba yanauzwa kigamboni kimbiji,
Ekari moja mil.5...
Nimekatuwa maji kisa nimempa jirani maji kwamawazo yangu nilithani unit zinapo tumika kwawingi nifuraha kwa DAWASCO kumbe nikinyume, nimekutwa nawakaguzi wa mita nikiwa nampa maji jirani...
Wakuu,
Kwa wanaofahamu hivi vifaa,
Nina kiasi tajwa hapo juu,
lengo niende Kariakoo kununua Desktop Computer,
Naomba kujuzwa,
Naweza kuipata iliyokamilika kwa kiasi hicho?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.