Nenda mtaa wa songea Ilala kama utahitaji spare mtumbaHabari wana Jf,mwenye kufahamu wapi naweza kupata spea mpya na original za gari aina ya Mitsubishi mini pajero cc650 auto transmission kwa hapa Dar es salaam atakua amenisaidia sna...natanguliza shukrani!!!!