Wapenzi wa perfume tukutane hapa

oriflametz

Member
May 31, 2016
47
12
Perfumes nzuri za kike na kiume ambazo zimewekwa kwenye seti maalum yenye kila kitu yaani sabuni, lotion, poda, aftershave balm kwa wanaume, perfume na spray. Ni nzuri kwani zinakupa harufu moja mwili mzima, sabuni yenye harufu sawa na lotion sawa na perfume yake. Ni nzuri kwa matumizi binafsi au kwa zawadi. Zinapatkana jumla 25000 kuanzia piece 10 na rejareja 28000.

Mikoani tunatuma.
1469945182199.jpg
1469945190823.jpg
1469945201969.jpg
1469945211449.jpg
1469945220671.jpg
1469945230570.jpg
1469945238831.jpg
 
Perfumes nzur za kike na kiume ambazo zimewekwa kwenye seti maalum yenye kila kitu yaani sabuni, lotion, poda, aftershave balm kwa wanaume, perfume na spray... Ni nzur kwan zinakupa harufu moja mwili mzima, sabuni yenye harufu sawa na lotion sawa na perfume yake.. Ni nzur kwa matumiz binafsi au kwa zawadi.. Zinapatkana jumla 25000 kuanzia piece 10 na rejareja 28000....
Contact 0652140160,
Mikoani tunatuma. View attachment 373735View attachment 373736View attachment 373737View attachment 373738View attachment 373739View attachment 373740View attachment 373741

Hiyo bei niya Mkebe mzima au item moja moja?
 
Naomba nisieleweke vibaya lakini napenda kujua kama hizo perfume ni original au ni copycats? Set nzima kwa 25,000 Tsh? Mbona rahisi sana? Zimetengenezwa wapi? I am just curious...
 
By experience nilishawahi kununua perfume za namna hii, kiukweli simshauri mtu bt you can try and experience on ur own ....
 
Nina moja inaitwa Pink suger yaani sijutii hata kidogo maana nikipaka hiyo kila nipitapo ""you smell so good" imekua kama wimbo wa taifa
 
Back
Top Bottom