Fundi wa kujenga nyumba mzuri kwa bei nafuu mwanza anahitajika

RingaRinga

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,038
505
Salaam wakuu,
Niunganisheni na hawa watu, nataka kujenga maeneo ya buhongwa mwanza, ikiwezekana awe wa maeneo hayo
 
Fundi ujenzi huyu anaitwa Musa, namba yake +255 758 216 315

Yeye hayuko humu JF wasiliana nae kwa simu. Anishi mwanza na ni fundi mzuri sana
 
Mkuu na mimi nina shida na huyu mtu, vipi kuusu uaminifu mana mda mwingi niko dar na nyumba iko mwanza so nataka mtu anaeweza kujisimamia.
 
Ni muanifu sana, binafsi ndiye aliyenijengea nyumba yangu tokea kuchimba msingi mpaka nahamia, amefanya kazi yote kwa uaminifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom