Niuzie Noah LiteAce au TownAce

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
15,304
11,119
Natafuta Noah Old Model aidha LiteAce au TownAce (G exurb au super extra Limo), ya kuanzia mwaka 1999 na kuendelea, iwe na namba C** au D** na iwe kwenye hali nzuri.
Bajeti yangu ni 8m.

Sihitaji madalali
Mawasiliano 0763 966 782
 
Back
Top Bottom