MrIsidori
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 191
- 83
Nahitaji Mtaalamu wa kunijengea bwawa la kufugia kambale kisasa litakalokuwa limejengwa na mabanzi na karatasi maalum la nailoni lenye uwezo wa kufugia kambale 1000. Mimi niko Moshi Vijijini - KIBOSHO MAUA, Vifaranga. chakula na utaalamu nitapata toka kwake, aksante