Wazalishaji na wauzaji wakubwa wa mchele(Long grain white rice)

jrmpya

Member
Dec 3, 2014
74
58
Heri ya mwaka 2017, mwaka wa mafanikio makubwa na utimilifu wa mipango na ndoto zetu za miaka mingi.

Kwa neema ya Mungu nimepata order ya kusupply mchele 30000 metric ton kwa mwezi kwa muda wa miezi kumi na mbili.

Hivyo nahitaji kuchilikiana na wazalishaji na wauzaji wakubwa wa mchele( long grain white rice) katika hili.

Au kama kuna mtu anafahamu kampuni au viwanda vinavyo zalisha na kuuza mchele naomba tupeane ufahamu katika hili.

Asanteni sana.
 
serikali imeamua kukusanya chakula kwa dizaini nyingine.


swissme
 
Back
Top Bottom