Nauza kiwanja Dodoma mjini bei ya kutupa

lizabonikwetu

New Member
Dec 21, 2016
3
5
Heri ya Mwaka Mpya
Nauza Kiwanja changu kilichopo mkoani Dodoma mahali panaitwa MAKULU ukiwa njiani kwenda Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
Ukubwa ni Hatua 30 kwa 20. Bei ni Milioni Mbili tu na maongezi yapo.
Mhitaji SERIOUS tafadhali atumie namba 0786 294545
Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom