ST.JOSEPH UNIVERSITY
ANNOUNCEMENT OF VACANCIES IN THE DEPARTMENT OF PHARMACY
The St. Joseph University in Tanzania (SJUIT) invites applications from qualified and experienced Tanzanians to fill...
Ni kitanda kiunazwa na godoro lake kipo Msewe Golani bie laki saba
Godoro na kitanda vyote ni vipya..unalala fofofo kabisa.
Kwa mawasiliano namba hizi hapa 0782019269
Tumejitoa kuwaombea kina dada ambao wanahitaji wachumba wa kuwaoa, tutamuombea tu ambaye yuko serious na anahitaji kweli kutokana na sababu mbali mbali na za msingi anazo zijua yeye. Kama kuna...
Ina 5 grams za L-Arginine kwa kila kijiko kimoja, na vitamini mbalimbali zinazosaidia kuongeza stamina na nguvu.
L-Arginine ni amnino acid muhimu sana kwa afya kiujumla. Miili yetu inaibadilisha...
Eneo linauzwa lipo maeneo ya Tabata bima linatazamana na St.Mary's Teachers College.
Ukubwa ni square futi 8000, eneo lipo bararani kabisa .All relevants documents ziko available (sio ya urithi...
Gari linauzwa, Suzuki Escudo T936AXG, Manual gear, Cc 1600. Liliagizwa kutoka Japan 2008, liko kwenye hali nzuri. Bei inaanzia 6.0m (malewano yapo). Gari lipo Kisota, Kigamboni, Dar es Salaam...
Naiuza pikipiki yangu kwa sh.milion Moja na Laki mbili
Bado ni mpya tafadhali kama unauhitaji njoo inbox .
Mahali ni Dar
Mrejesho
Nashukru Ndugu wana Jf kwa sapot yenu nmefanikiwa kuiuza hiyo...
Pata tshirt kali iliyoprintiwa vizuri kwa ustadi wa hali ya juu kwaajili ya familia yako,couples,tshirt za kuvaa watu wa rika zote ,tshirtbza shule,kampuni,taasisi ,vikundi nk
Tunapatikana tabata...